Maziwa ya Mama

By Martha Chimilila Bi. Ruthi Mkopi, Afisa wa Utafiti, Mwandamizi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, alizungumza na waandishi wa gazeti la Habari leo akisema “Asilimia 58 kati ya 100, ya watoto walio chini ya miezi sita ndiyo wanaonyonya Maziwa ya mama zao” Hii inaonyesha kuwa asilimia 42 ya watoto hawanyonyi Maziwa ya mama zao sababu ya Ugonjwa wa Uviko 19.  …

Maziwa ya Mama Read More »