Masomo katika makazi duni.
By Khadija Mbesa Mtaala wa Ustadi (CBC) chini ya mfumo wa 2-6-3-3 wa elimu nchini Kenya ulifunuliwa mnamo 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa elimu wa 8-4-4 ambao umetumikia Kenya kwa miaka 32. shule zinajizatiti kwa bidii ili kuweza kuendeleza mfumo huu wa 2-6-3-3. utekelezaji huu umekua changamoto dhahiri upande wa wazazi na walezi kifedha, […]
Masomo katika makazi duni. Read More »