Umaskini na Tamaa yazika ndoto ya kuwa Mwalimu
By Martha Chimilila Upendo John ni binti wa miaka 16, anayeishi wilaya ya Geita nchini Tanzania. Upendo alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi bora kitaaluma na mhitimu wa darasa la saba 2021. Kwa sasa Upendo ana mimba ya miezi miwili na amefukuzwa shule, hivyo hawezi tena kufanya mitihani ya kuhitimu darasa la saba. Nini kilisababisha kujihusisha …