DPP Hajj Azindua Muongozo wa Waendesha Mashitaka Ili Kuwalinda Watoto

By Khadija Mbesa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imezindua mwongozo katika mfumo wa haki ya jinai ili kuwasaidia waendesha mashtaka wanaposhughulikia kesi zinazohusu watoto. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uendeshaji Mashtaka jijini Nairobi, DPP Noordin Haji alisema mwongozo huo utahakikisha haki kwa watoto wanaoingia katika […]

DPP Hajj Azindua Muongozo wa Waendesha Mashitaka Ili Kuwalinda Watoto Read More »