Mapinduzi ya Kisiasa nchini Myanmar

By Martha Chimilila Mapinduzi ya kisiasa nchini Myanmar katika kipindi cha miezi mitano, yamesababisha watoto wengi kuuawa na mamia kuzuiliwa kiholela. Wataalamu wa Haki za Umoja wa Mataifa walisema michafuko ya kisiasa yanaendelea katika kipindi cha dharura za kiafya zilizoletwa na janga la Corona. Kamati ya haki za watoto ya Umoja wa Mataifa iliripoti Ijumaa …

Mapinduzi ya Kisiasa nchini Myanmar Read More »