Mahakama

CJ Koome Azindua Wiki ya Huduma kwa Watoto ili Kupunguza Mrundikano wa Kesi

By Khadija Mbesa Jaji mkuu Martha Koome, alizindua Mwezi wa Huduma kwa Watoto na kuagiza kuundwa kwa kamati za Watumiaji wa Mahakama ya Watoto Kortini. Koome alitangaza kwamba, Novemba utakuwa mwezi ambao Mahakama inahudumia watoto katika azma ya kuhakikisha utatuzi wa haraka wa masuala yao chini ya kaulimbiu ‘Mfumo wa Haki unaofaa kwa watoto’. Mahakama imeadhimisha …

CJ Koome Azindua Wiki ya Huduma kwa Watoto ili Kupunguza Mrundikano wa Kesi Read More »