Hawajapotea wala Hawajasahaulika
By Khadija Mbesa Zaidi ya asilimia 80 ya watoto wanaoishi katika nyumba za utunzaji bado wana wazazi. Baraza la Mafundisho ya Dini la Pwani linaongoza kampeni inayolenga kuwaunganisha tena watoto na familia zao. Mpango huo ulioanzisha huko Kilifi katika kaunti ndogo ya Malindi, Magarini na Ganze Inahakikisha kuwa watoto hao wanalelewa kati kati ya jamii […]
Hawajapotea wala Hawajasahaulika Read More »