‘Hakuna Korti Itakayotoa Hukumu ya Kifo kwa Kosa Lolote Lililofanywa na Mtoto’

By Khadija Mbesa Serikali ya Kenya,imetoa sheria mpya inayoelezea msururu wa faini kubwa kwa utelekezaji na unyanyasaji wa watoto, haswa katika maeneo ya mitandao ya kijamii na elektroniki. Muswada wa Sheria ya Watoto, 2021, unataka kufuta Sheria ya Watoto, 2001, ili kuanzisha adhabu ya watakaomnyima mtoto haki ya kuishi, ustawi na maendeleo. Muswada huo uliodhaminiwa […]

‘Hakuna Korti Itakayotoa Hukumu ya Kifo kwa Kosa Lolote Lililofanywa na Mtoto’ Read More »