Wazazi katika Hatari ya Kukamatwa kwa kukosa Kusajili Watoto Kidato cha Kwanza

By Khadija Mbesa “Wazazi ambao hawataweza kuwasajili watoto wao kidato cha kwanza katika mkoa wa Pwani, wako katika hatari ya kukusanywa na serikali” alisema Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana John Elungata(RC) Akizungumza katika kaunti ndogo ya Kinango ya Kwale, Elungata alisema kwamba, serikali haitasita kamwe, katika msukumo wake wa kufanikisha mabadiliko ya asilimia 100 …

Wazazi katika Hatari ya Kukamatwa kwa kukosa Kusajili Watoto Kidato cha Kwanza Read More »