Wahka wa Ongezeko la Ubakaji na Ndoa za Mapema
By Khadija Mbesa Idara ya watoto ya Mandera imeibua wasiwasi mkubwa juu ya kuongezeka kwa idadi ya visa vya ubakaji nchini. Mkurugenzi wa watoto wa Kata ya Mandera Abdikadir Haji, alisema kuwa, jumla ya kesi 56 kwa sasa ziko kortini na aliwalaumu wazazi kwa kutokuwa tayari kutoa habari hizi, kwa kuogopa kejeli au unyanyapaa kutoka […]
Wahka wa Ongezeko la Ubakaji na Ndoa za Mapema Read More »