Afya ya Watoto na Mitandao ya Kijamii

By: Martha Chimilila Mitandao ni nyenzo ya msingi ya maendeleo katika nyanja ya Mawasiliano, ambapo jamii mbalimbali ulimwenguni wanaunganishwa. Matumizi ya simu za mikononi na zana mbalimbali za kidigitali, zimeongezeka sana katika kipindi hiki ambacho dunia inapambana na janga la Corona. Kutoka mwaka wa 2019 na kuendelea tumeona kuwa, idadi ya watumiaji wa mitandao ya […]

Afya ya Watoto na Mitandao ya Kijamii Read More »