Hali ya hewa

Migogoro ya Hali ya Hewa na Ustawi wa Watoto

By Martha Chimilila Mabadiliko ya hali ya hewa yanaleta athari kubwa ulimwenguni, na kusababisha athari kwa kizazi cha sasa na baadae. Mabadiliko ya hali ya hewa yanahusishwa na tatizo la ukosefu wa usawa na uminywaji wa haki, watoto wengi katika nchi zinazoendelea na kaya maskini watapata athari kubwa kuliko wengine. Athari zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa watoto sio nadharia bali

Migogoro ya Hali ya Hewa na Ustawi wa Watoto Read More »

Mazingira ni Kesho ya Watoto Wetu

By Martha Chimilila Hali ya Hewa ni wastani wa mabadiliko ya sehemu husika katika miaka mingi.   Dunia kwa sasa iko katika kipindi cha Mabadiliko ya hali ya hewa ya haraka haswa kupanda kwa joto. Mabadiliko ya hali ya hewa imebadilisha utaratibu wa maisha na kusababisha ukame, kuongezeka kwa kina cha maji katika baadhi ya maeneo na upungufu wa chakula. Ulimwengu kwa sasa umepata joto kwa asilimia ya 1.2C tangu kuanza mapinduzi ya viwanda yalipoanza na joto litaendelea kuongezeka kama serikali hazitafanya jitihada za kupunguza tatizo hili.  Ripoti ya Umoja wa Mataifa imethibitisha ongezeko la mabadiliko ya hali hewa na kusababisha majanga katika karne ya 21. Baadhi ya maeneo yanaweza kuwa na joto hatari na maeneo mengine hayafai kwa makazi sababu ya ongezeko la viwango vya maji. Moja ya ripoti iliyotolewa na shirika la Save the Children nchini Burundi, ni kuongezeka kwa maji katika Ziwa Tanganyika na kusababisha takribani familia 100,000 kuhama makazi yao. Watu katika nchi masikini,

Mazingira ni Kesho ya Watoto Wetu Read More »