Hukmu ya Miaka Miwili Gerezani, kwa Wanaowanyima Watoto Urithi

By Khadija Mbesa Jimbo la Kenya,lakusudia kuwaweka jela watu ambao wanawanyima urithi watoto, kwa miaka miwili gerezani au kuwapiga faini ya laki mia tano pesa taslimu za kenya, hii ni iwapo wabunge wataidhinisha Muswada mpya kuwa sheria. Muswada wa Sheria ya Watoto wa mwaka 2021 unasema kwamba, kila mtoto ana haki ya kurithi mali chini …

Hukmu ya Miaka Miwili Gerezani, kwa Wanaowanyima Watoto Urithi Read More »