Familia

Kitanzi cha Ndoa, Gharama kwa Watoto

By Khadija Mbesa Mama wa watoto watatu hivi sasa anashikiliwa na upelelezi kwa madai ya kuwanyonga watoto wake wawili hadi kuwaua, huko Jerusalem-Waithaka, kaunti ndogo ya Dagorreti, Nairobi. Diana Kibisi anasemekana kujifungia na watoto wake watatu katika chumba chao kimoja kabla ya kumuua mtoto wake wa kiume wa miaka 4 na 3. Vyanzo vya karibu …

Kitanzi cha Ndoa, Gharama kwa Watoto Read More »

Komesha Uchumba wa Kifamilia

By Khadija Mbesa Afisa wa watoto wa Kaunti Ndogo ya Makueni Rasto Omollo ameonya wakaazi juu ya kutoripoti visa vya uchumba vinavyofanywa dhidi ya watoto, tena uchumba wa kifamilia. Omollo alisema kuwa kesi nyingi za uchumba haziripotiwi na hutatuliwa nyumbani badala ya kuripoti ili wahusika waende mbele ya haki. ” Wazazi wa watoto ambao wamenajisiwa …

Komesha Uchumba wa Kifamilia Read More »

Covid Yazua Kadhaa

By Khadija Mbesa Mtoto wa miezi sita aliyenyanyaswa kingono na babake wakati wa kufungiwa ndani kwa sababu ya maambukizi ya corona, Mtoto wa miaka kumi na nne ambae hakuweza kurudi shuleni wakati mzazi wake wa kiume,, mshirikii pekee wa kipato cha familia ametekwa na virusi hivi na kuaga dunia. Mtoto huyo huenda akalazimika kujitwika majukumu …

Covid Yazua Kadhaa Read More »

Uzito wa Ukiukwaji wa Haki za Watoto Kaskazini mwa Ethiopia

By Khadija Mbesa Kama walivyosema, Fahali wawili wakipigana basi manyasi ndio huumia. Miezi kadhaa baada ya vita vya ndani huko kaskazini mwa Ethiopia, kumekua na vifo vya maelfu ya watu, mamilioni ya wakimbizi, na kusababisha mashtaka ya ukatili kama utakaso wa kikabila, serikali ya Ethiopia na washirika wake hawajaonyesha dalili yoyote ya kurudisha vikosi vya …

Uzito wa Ukiukwaji wa Haki za Watoto Kaskazini mwa Ethiopia Read More »

je Watoto Huepuka Siasa za Unyogovu?

By; Khadija Mbesa Hapana. Unyogovu wa utoto ni tofauti na wa kawaida na hisia za kila siku ambazo watoto hupitia. Kwa sababu tu mtoto anaonekana kusikitisha haimaanishi wana unyogovu mkubwa. Lakini ikiwa huzuni itaendelea kudumu au inaingiliana na shughuli za kawaida za kijamii, maslahi, kazi ya shule, au maisha ya familia, inaweza kumaanisha wana ugonjwa wa …

je Watoto Huepuka Siasa za Unyogovu? Read More »