Dawa za Mitishamba na COVID 19

By Martha Chimilila Nchini Uganda,Mamlaka ya Kitaifa ya Dawa za Kulevya (NDA) imetoa onyo kwa wazazi na wakuu wa shule kuhusu matumizi ya dawa za mitishamba na Covidex kwa wanafunzi. Onyo hili limetolewa baada ya wadau kadhaa wa elimu kupinga wazo la wanafunzi kuripoti shuleni na dawa hizo kwa matumizi endapo watapata dalili za covid-19.  Bwana Hasadu Kirabira, Mwenyekiti wa Chama cha Taasisi za …

Dawa za Mitishamba na COVID 19 Read More »