Daktari Aua Wanawe Wawili.
By Khadija Mbesa Daktari anayedaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwadunga sindano ya dawa iliyopita kiasi, akamatwa hapo juzi katika kaunti ya Nakuru. Mamlaka ilisema kwamba, daktari aliyetambuliwa kama Daktari James Gakara, alijaribu kujitoa Uhai kabla ya kukamatwa. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Nakuru, Beatrice Kiraguri, alisema kwamba, tukio hilo liliripotiwa na jirani katika […]
Daktari Aua Wanawe Wawili. Read More »