Kuongezeka kwa Kesi za Covid-19 kati ya Watoto
By Khadija Mbesa Ripoti ya madaktari wa watoto inasema kwamba, Kesi za Covid-19 kati ya watoto zinaongezeka tena, kwa zaidi ya kesi mpya 164,000 wiki iliyopita. Kesi za Covid-19 miongoni mwa watoto zinaongezeka tena, hii ni kulingana na ripoti kutoka Chuo cha Amerika cha Madaktari wa Watoto iliyochapishwa Jumatatu. ripoti hiyo ilielezea kwamba, Kesi mpya zilizoripotiwa miongoni mwa watoto […]
Kuongezeka kwa Kesi za Covid-19 kati ya Watoto Read More »