Hali ya Watoto Nchini Kenya 2021
By Khadija Mbesa Umeafikia mwaka wa tatu wa kuishi na virusi vya corona, na si hayo tu bali kumekuwa na migogoro ya hali ya hewa tangia miaka kadhaa iliyopita, je watoto wako kwenye hali gani wakati ulimwengu unapigana na janga la corona, vita na ukame? Kama Kawaida, endapo kutakuwa na janga lolote, basi watoto ndio …