Chanjo

Upendekezo wa Chanjo ya Covid kwa Watoto wa Umri wa Miaka Mitano hadi Kumi na Mmoja

By khadija Mbesa Washauri wa CDC wa Amerika wanapendekeza jabs za COVID kwa watoto wadogo. Jopo la ushauri kwa Vituo vya Marekani vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) limeunga mkono kauli ya kutoa chanjo ya virusi vya corona kwa watoto wenye umri wa miaka mitano hadi 11, mojawapo ya hatua muhimu za mwisho kabla ya …

Upendekezo wa Chanjo ya Covid kwa Watoto wa Umri wa Miaka Mitano hadi Kumi na Mmoja Read More »

Chanjo ni Bora Kuliko Tiba

By Martha Chimilila Burundi ni moja ya nchi za Afrika Mashariki, ambazo zilipinga kufuata masharti yaliyotolewa na Shirika la Afya duniani juu ya janga la Uviko 19. Hali imekuwa ya tofauti baada ya serikali ya Burundi kuanzisha kampeni mbalimbali za kudhibiti na kukinga wananchi wake juu ya janga la Uviko 19. Katika juhudi za kuzuia …

Chanjo ni Bora Kuliko Tiba Read More »

chanjo ya Covid 19 kwa wanaonyonyesha

By Martha Chimilila Mama Wajawazito, Wanaonyonyesha Wahimizwa Kupata Chanjo ya Covid 19 (Uvido)  Kituo cha Biomedical Rwanda (RBC) kimewahimiza wajawazito na wakina mama Wanaonyonyesha kwenda kupata Chanjo ya Uvido. Daktari Sabin Nsabimana, Mkurugenzi Mkuu wa RBC alisema yafuatayo: ‘Ninawahimiza wanawake wajawazito na watoa huduma za afya kuchomwa Chanjo’. Ujumbe huu umetolewa baada ya mlipuko wa janga jipya la kirusi Delta.  Vituo vya Kudhibiti …

chanjo ya Covid 19 kwa wanaonyonyesha Read More »