WHO Yaidhinisha Utumiaji wa Chanjo ya Kwanza ya Malaria Barani Afrika

 Khadija Mbesa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limependekeza utumizi mpana wa chanjo ya malaria kwa watoto barani Afrika. Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom alisema Jana mnamo tarehe 6 Oktoba 2021, kwamba RTS, S, au Mosquirix, chanjo iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa Uingereza GlaxoSmithKline (GSK.L), inaweza kuchukua jukumu kubwa katika mapambano ya kutokomeza vifo …

WHO Yaidhinisha Utumiaji wa Chanjo ya Kwanza ya Malaria Barani Afrika Read More »