Tanzania Kuruhusu Upatikanaji Sawa wa Elimu kwa Wasichana Wajawazito na Mama Wenye Umri Mdogo

By Khadija Mbesa Taarifa ya Benki ya Dunia, kuhusu Tangazo la Serikali ya Tanzania kuhusu Upatikanaji Sawa wa Elimu kwa Wasichana Wajawazito na Kina Mama Vijana. Benki ya Dunia, hapo jana, imetoa taarifa ifuatayo kuhusu tangazo la Serikali ya Tanzania kuhusu kupanua na kuhakikisha upatikanaji wa elimu rasmi kwa wasichana, hasa wanafunzi wajawazito na kina […]

Tanzania Kuruhusu Upatikanaji Sawa wa Elimu kwa Wasichana Wajawazito na Mama Wenye Umri Mdogo Read More »