Ushirikiano wa UNICEF na Airtel Afrika, Katika Kuboresha Mafunzo ya Kidigitali kwa Watoto
By Khadija Mbesa Airtel Afrika na UNICEF Zataka Kuongeza Mafunzo ya Kidijitali kwa Watoto Barani Afrika, Ikiwemo Kenya Airtel Afrika na UNICEF zimetangaza hapo jana ushirikiano wa miaka mitano barani Afrika ili kusaidia kuharakisha uanzishaji wa mafunzo ya kidijitali kupitia kuunganisha shule kwenye mtandao na kuhakikisha upatikanaji wa bure wa majukwaa ya kujifunzia katika nchi …