Afya

Ladha au Afya Njema?

By Khadija Mbesa Unene kupita kiasi kwa watoto ni suala tata la kiafya. Hii hutokea wakati mtoto yuko na uzito usio wa kawaida, au kuwa na uzito uliozidi inavyopaswa kulingana na urefu wake. Sababu za kupata uzito kupita kiasi kwa vijana ni sawa na zile za watu wazima, pamoja na tabia na maumbile. Unene kupita kiasi pia …

Ladha au Afya Njema? Read More »