Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Afya ya Watoto
By Martha Chimilila Mabadiliko ya Hali ya Hewa au Tabia za Nchi ni mfumo mzima wa kuongezeka au kupungua kwa joto, ukosefu wa mvua unasababisha ukame na ukosefu wa chakula. Ripoti ya mwaka ya Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani (2020), WMO, imeonyesha kuwa, nchi maskini ziliathirika sana kutokana na mabadiliko ya tabia za nchi ulimwenguni. Maeneo yaliyotajwa kwenye ripoti ni pamoja […]
Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Afya ya Watoto Read More »