Ugonjwa wa Afya ya Akili kwa Watoto

By Martha Chimilila Afya ya akili ni ustawi wa kihemko, kisaikolojia na kijamii. Inathiri jinsi unavyofikiria, kudhibiti hisia na kutenda. Ugonjwa wa afya ya akili, hufafanuliwa kama mifumo au mabadiliko katika kufikiria, kuhisi au tabia ambayo inasababisha shida na kuvuruga uwezo wa mtu kufanya kazi. Afya ya akili ni muhimu katika kila hatua kutoka utotoni …

Ugonjwa wa Afya ya Akili kwa Watoto Read More »