Makosa Afanye Mtoto, Adhabu Apewe Mzazi.
By Khadija Mbesa Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Msemo huu umekita mizizi nchini China baada ya bunge la China kutoa maoni ya kuzingatia sheria ya kuwaadhibu wazazi ikiwa watoto wao wadogo wataonyesha “tabia mbaya sana” au watakapofanya uhalifu. Katika rasimu ya sheria ya kukuza elimu ya familia, walezi wataadhibiwa na kuamriwa kupitia programu za mwongozo wa […]
Makosa Afanye Mtoto, Adhabu Apewe Mzazi. Read More »