Uncategorized

Watoto na Watu Walio katika Umaskini ndio Waathiriwa zaidi wa Janga la Covid

By Khadija Mbesa Janga la COVID-19 linaloendelea, limewaathiri watoto kwa kiasi kikubwa mno, hasa ikilinganishwa na maisha waliyoyajua hapo awali. Kulingana na ripoti ya hivi majuzi, Utafiti Mkuu wa Kaya, 2020 ambao ulitolewa na Shirika la Takwimu la Afrika Kusini, imeashiria kwamba, COVID-19 imekuwa na athari tofauti katika asili ya mipangilio ya malezi ya watoto, haswa […]

Watoto na Watu Walio katika Umaskini ndio Waathiriwa zaidi wa Janga la Covid Read More »

DPP Hajj Azindua Muongozo wa Waendesha Mashitaka Ili Kuwalinda Watoto

By Khadija Mbesa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imezindua mwongozo katika mfumo wa haki ya jinai ili kuwasaidia waendesha mashtaka wanaposhughulikia kesi zinazohusu watoto. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uendeshaji Mashtaka jijini Nairobi, DPP Noordin Haji alisema mwongozo huo utahakikisha haki kwa watoto wanaoingia katika

DPP Hajj Azindua Muongozo wa Waendesha Mashitaka Ili Kuwalinda Watoto Read More »

Kila Baada ya Dakika Mbili,Mtoto Aliambukizwa VVU Mnamo Mwaka 2020

By Khadija Mbesa Takriban watoto 300,000 wameambukizwa VVU mwaka wa 2020, hii ni sawa na mtoto mmoja anaambukizwa vvu kila baada ya dakika mbili, na watoto idadi ya 120,000 walikufa kutokana na visababishi vinavyohusiana na UKIMWI katika kipindi hicho, sawa na mtoto mmoja kila baada ya dakika tano. UNICEF Picha ya hivi punde ya VVU na UKIMWI Global

Kila Baada ya Dakika Mbili,Mtoto Aliambukizwa VVU Mnamo Mwaka 2020 Read More »

Unyanyasaji wa Kihisia na wa Kisaikolojia kwa Watoto

By Khadija Mbesa Mojawapo ya aina zilizoenea zaidi za unyanyasaji wa watoto ni unyanyasaji wa kihisia au kisaikolojia, ambapo mzazi au mlezi hujihusisha na tabia, usemi na vitendo ambavyo vina athari mbaya kwa ustawi na ukuaji wa mtoto. Ingawa aina hii ya unyanyasaji haiwezi kuacha majeraha na makovu sawa na unyanyasaji wa kimwili, unyanyasaji wa kihisia unaweza kuwa mbaya kwa ukuaji

Unyanyasaji wa Kihisia na wa Kisaikolojia kwa Watoto Read More »

CJ Koome Azindua Wiki ya Huduma kwa Watoto ili Kupunguza Mrundikano wa Kesi

By Khadija Mbesa Jaji mkuu Martha Koome, alizindua Mwezi wa Huduma kwa Watoto na kuagiza kuundwa kwa kamati za Watumiaji wa Mahakama ya Watoto Kortini. Koome alitangaza kwamba, Novemba utakuwa mwezi ambao Mahakama inahudumia watoto katika azma ya kuhakikisha utatuzi wa haraka wa masuala yao chini ya kaulimbiu ‘Mfumo wa Haki unaofaa kwa watoto’. Mahakama imeadhimisha

CJ Koome Azindua Wiki ya Huduma kwa Watoto ili Kupunguza Mrundikano wa Kesi Read More »

Tanzania Kuruhusu Upatikanaji Sawa wa Elimu kwa Wasichana Wajawazito na Mama Wenye Umri Mdogo

By Khadija Mbesa Taarifa ya Benki ya Dunia, kuhusu Tangazo la Serikali ya Tanzania kuhusu Upatikanaji Sawa wa Elimu kwa Wasichana Wajawazito na Kina Mama Vijana. Benki ya Dunia, hapo jana, imetoa taarifa ifuatayo kuhusu tangazo la Serikali ya Tanzania kuhusu kupanua na kuhakikisha upatikanaji wa elimu rasmi kwa wasichana, hasa wanafunzi wajawazito na kina

Tanzania Kuruhusu Upatikanaji Sawa wa Elimu kwa Wasichana Wajawazito na Mama Wenye Umri Mdogo Read More »

Nchi zilizoathiriwa zaidi na Ukiukaji wa Haki Dhidi ya Watoto Walio katika Vita

By Khadija Mbesa Kanda ya Afrika Magharibi na ya Kati ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa zaidi na ukiukaji mkubwa wa haki dhidi ya watoto katika vita vya silaha Tangu mwaka wa 2005, wakati utaratibu wa Umoja wa Mataifa wa kufuatilia na kutoa taarifa juu ya ukiukwaji mkubwa wa watoto sita ulipoanzishwa, Afrika Magharibi na Kati

Nchi zilizoathiriwa zaidi na Ukiukaji wa Haki Dhidi ya Watoto Walio katika Vita Read More »