Uncategorized

Shukran na Buriani Mwai Kibaki

Ni siku kadhaa baada ya kifo cha Rais wa zamani wa Kenya, Mzee Mwai Kibaki, na hatuna budi ila kumwambia buriani, huku tukikumbuka sifa zake katika sekta ya Elimu na Uchumi. Si siri kwamba, Mwai Kibaki alipoingia madarakani kama rais mwaka wa 2003, alizindua mpango wa Elimu ya Msingi usio na Malipo na ambao uliosifiwa sana .  Huku …

Shukran na Buriani Mwai Kibaki Read More »

Family of the boy who died in Nyabondo Boys after the toilet caved in accuses the school administration of gross misconduct and negligence

By Lydia Gichuki The family of the form one student who died on Monday after a toilet caved in Nyabondo Boys High school in Kisumu County, have accused the school administration of gross misconduct and negligence after it failed to inform them about the death of their child. The family came to learn about the …

Family of the boy who died in Nyabondo Boys after the toilet caved in accuses the school administration of gross misconduct and negligence Read More »

Teen Pregnancies on the Rise as 13,000 Girls Got Pregnant in Narok County in 2021

By Raisa Okwaras Over 13,000 girls between the ages of 10 and 18 in Narok County got pregnant in 2021, the county health department reports. The figure forms 27% of the total number of total pregnancy cases recorded nationally in the year 2021 from January till November. The County Health Reproductive Coordinator Chesang’ Toroitich revealed …

Teen Pregnancies on the Rise as 13,000 Girls Got Pregnant in Narok County in 2021 Read More »

Mchezo wa Mtandaoni Utakaokuza Jukwaa la Usalama Kwa Watoto

Khadija Mbesa Februari, 2022. Nairobi Kenya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imezindua rasmi mchezo wa mtandaoni unaoitwa  ‘Cyber ​​Soldjas’  kwa minajili ya kukuza jukwaa salama la mtandaoni kwa watoto. Akizungumza katika hoteli moja, hapo jana jijini Nairobi, Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa CAK, Mercy Wanjau, alisema kwamba, mchezo huo wa mtandaoni unalenga watoto wenye umri …

Mchezo wa Mtandaoni Utakaokuza Jukwaa la Usalama Kwa Watoto Read More »

Hali Mbaya Katika Sekta ya Elimu Kuongezeka Kuliko Ilivyokadiriwa Hapo Awali

By Khadija Mbesa Ni mwaka mwengine sasa, ila bado migogoro ya Elimu katika nchi kadhaa ulimwenguni inaendelea kukita mizizi. Na katika ripoti ya hivi majuzi ya The State of Global Education Crisis: A Path to Recovery iliyotolewa kwa upamoja wa UNESCO, UNICEF, na Benki Kuu ya Dunia, imedhihirisha kwamba, hali hiyo ni mbaya zaidi kuliko ilivyokadiriwa hapo …

Hali Mbaya Katika Sekta ya Elimu Kuongezeka Kuliko Ilivyokadiriwa Hapo Awali Read More »

Kuongezeka kwa Kesi za Covid-19 kati ya Watoto

By Khadija Mbesa Ripoti ya madaktari wa watoto inasema kwamba, Kesi za Covid-19 kati ya watoto zinaongezeka tena, kwa zaidi ya kesi mpya 164,000 wiki iliyopita. Kesi za Covid-19 miongoni mwa watoto zinaongezeka tena, hii ni kulingana na ripoti kutoka Chuo cha Amerika cha Madaktari wa Watoto iliyochapishwa Jumatatu. ripoti hiyo ilielezea kwamba, Kesi mpya zilizoripotiwa miongoni mwa watoto …

Kuongezeka kwa Kesi za Covid-19 kati ya Watoto Read More »