Wazazi wa Kiume Wapewa Haki ya Kulea
Kwa miaka mingi sana, Nchi ya Kenya imekuwa ikisita kuwapatia wazazi wa kiume haki ya ulezi wa watoto wenye miaka midogo, wakihofia kupuuzwa kwa mahitaji ya mtoto huyo na pia kwa sababu ya propaganda ya, Mlezi we kike anaweza kumlea vizuri mtoto mdogo kuliko mlezi wa Kiume, lakini hayo yote yametupiliwa mbalii baada ya mahakama […]
Wazazi wa Kiume Wapewa Haki ya Kulea Read More »