Child Abuse

Watoto, Wenye Miaka 3 na 6 Wamekuwa Waathiriwa Zaidi wa Unyanyasaji wa Kingono

Ripoti kutoka kwa shirika la usalama la mtandao limesema kwamba, watoto walio na umri wa kati ya miaka mitatu na sita wamekuwa waathiriwa zaidi katika mwenendo unaoongezeka wa unyanyasaji wa kingono wa watoto unaotokana na wao wenyewe. Wakfu ya Internet Watch ilisema kwamba, katika kipindi cha mwezi mmoja, wakfu hiyo iliiona mifano 51 ya picha za […]

Watoto, Wenye Miaka 3 na 6 Wamekuwa Waathiriwa Zaidi wa Unyanyasaji wa Kingono Read More »

Mduara wa Unyanyasaji Nyumbani

Wazazi ndio washawishi wakubwa zaidi katika maisha ya watoto wao. Kwa hivyo, mienendo ya wazazi huwa na athari kubwa mno kwa watoto wao. Kwa mfano, Wazazi wanaozushiana na kupigana kila kuchao, hua sumu kwenye maisha ya watoto wao. swali ni, Sumu hii yaletwa vipi? Sumu hii huja baada ya wazazi kuwanyanyasa watoto hawa kiakili kwa

Mduara wa Unyanyasaji Nyumbani Read More »