Mtaala wa Elimu kwa Watoto wenye Usonji

By Martha Chimilila Usonji ni tatizo la kinafsi na la kihisia linalowatokea watu wengi tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine. Kifupi watu wenye Usonji hawana uwezo mzuri katika swala zima la Mawasiliano. Nchini Rwanda, wazazi wengi wanapata shida katika malezi ya kitaaluma kwa watoto wenye tatizo la Usonji, Bodi ya Elimu imeazimia kuandaa …

Mtaala wa Elimu kwa Watoto wenye Usonji Read More »

Mfumo wa Haki za Watoto Somalia

By Khadija Mbesa Sheria ya kiislamu, sheria ya kimila, na sheria ya jinai ya kidunia inatumika nchini Somalia, ila hakukuwa na sheria madhubuti, inayofanya kazi ya kitaifa na hakuna marufuku wazi ya adhabu ya kifo, adhabu ya viboko au kifungo cha maisha kwa wakosaji watoto kote nchini.  Sheria ya Mpito ya Shirikisho (TFG) ni serikali inayotambuliwa kimataifa ya Somalia. Mnamo 2009, Bunge la Shirikisho la Mpito, lilipiga kura ili kutekeleza sharia kama sheria ya kitaifa. Kulingana na Rais aliyechaguliwa enzi hizo, hii itakuwa tafsiri ya wastani ya ‘Sharia’. Walakini, TFG inadhibiti sehemu kidogo ya mjii mkuu wa Mogadishu, Maeneo mengine kusini mwa Somalia yapo chini ya vikundi vya upinzani venye silaha, haswa Alshabab na Hizbul Islam, ambazo zinaweka tafsiri kali ya sheria ya kiislamu.   Kaskazini, mkoa unaojitawala wa Puntland na jamhuri ya kujitegemea ya Somaliland ina utulivu zaidi, na serikali zinazofanya kazi na mifumo ya sheria.  Hakuna umri wa chini kabisa, wa uwajibikaji wa jinai nchini Somalia. Kulingana na Kusini au Kati mwa somalia na Puntland, kanuni ya adhabu ya somalia 1962 inaweka umri wa chini wa uwajibikaji wa jinai, miaka 14 na inatoa adhabu iliyotengenezwa kwa watoto wenye umri wa miaka 14 hadi 17. Mahakama ya watoto na sheria ya marekebisho 1970, inafafanua mtoto kama chini ya miaka 14, na kijana kama 14-17. Mahakama hiyo yasema kwamba, korti ya watoto ina mamlaka ya kipekee, ya kusikiliza na kuamua kesi zinazohusiana na watoto pamoja na vijana kuhusu kosa lolote lile, isipokuwa mauaji.   Walakini, inawezekana kwamba, sheria hii haijawahi kutekelezwa na sheria mpya ya watoto inaripotiwa kutungwa huko Puntland. Sehemu ya Somaliland, sheria ya vijana 2007, inaweka umri wa uwajibikaji wa jinai kuwa miaka 15, na inalinganisha vifungu vya sheria ya kidunia, na sheria ya kitamaduni. Walakini, sheria haijatekelezwa kikamilifu na kazi nyingi za korti za chini, katika haki za jinai.  Mambo, haswa yanayohusu watoto, yametekelezwa hivi karibuni na kamati za usalama za mkoa. Wakati wa miaka ya 1980, hukumu zilizotolewa na kamati hizi, ni pamoja na kifungo cha maisha na adhabu ya kifo, japokuwa hivi karibuni, sheria hizo zinaonekana kuwa duni.  (Source 1 )  Hivi sasa, mfumo wa kisheria unaosimamia watoto wanaokinzana na sheria umepitwa na wakati, na hauambatani na mkataba wa haki za Mtoto na vyombo vyovyote vinavyotumika vya kimataifa.  Sheria ya vijana ya 1970 ndio kifungu maalum pekee ndani ya mfumo wa sheria ya Somalia, ambao unasimamia matibabu na usimamizi na kuwekwa kizuizini kwa watoto, ndani ya mfumo wa haki ya jinai.  Kama nilivyosema hapo awali, Somalia haikuwa chama cha Mkataba wa haki za Mtoto (CRC) au itifaki zake za hiari enzi hizo.  Chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya adhabu, watoto walio chini ya umri wa miaka 14 hawatakuwa na jukumu la jinai. Umri wa uwajibikaji kwa hivyo huanza baada ya miaka 14.  Hakuna vifungu maalum vinavyoongoza matibabu kwa watoto walioko gerezani, au tawala maalum kwa watoto walioko kizuizini. Walakini, kifungu cha 60 cha sheria hiyo hiyo kinasema kwamba, watoto walio na miaka 14 hadi 18, wanapelekwa gerezani ikiwa wamekamatwa au wamehukumiwa kosa kubwa, ila wakati wa tathmini, mamlaka ya Somalia haikutoa ufafanuzi wowote kuhusu ni kosa gani lililo kubwa.  Kwa hivyo, kuna pengo katika sheria inayotumika kuhusu umri ambao mtoto anaweza kupelekwa gerezani au kuwekwa kizuizini. Mwisho kabisa, watoto waliopatikana na hatia ya makosa madogo, wanaweza kuachwa kwa msamaha ikiwa dhamana itatolewa.  Source; Pg31-33  Ijapokuwa Somalia haikuwa mwanachama wa Mkataba wa Haki za Watoto, mnamo mwaka wa 2015 Somalia ilifanya historia kwa kutekeleza haki za watoto kwa kuwa nchi ya 196  katika kuridhia Mkataba wa Haki za Mtoto (CRC). 

Mazingira ni Kesho ya Watoto Wetu

By Martha Chimilila Hali ya Hewa ni wastani wa mabadiliko ya sehemu husika katika miaka mingi.   Dunia kwa sasa iko katika kipindi cha Mabadiliko ya hali ya hewa ya haraka haswa kupanda kwa joto. Mabadiliko ya hali ya hewa imebadilisha utaratibu wa maisha na kusababisha ukame, kuongezeka kwa kina cha maji katika baadhi ya maeneo na upungufu wa chakula. Ulimwengu kwa sasa umepata joto kwa asilimia ya 1.2C tangu kuanza mapinduzi ya viwanda yalipoanza na joto litaendelea kuongezeka kama serikali hazitafanya jitihada za kupunguza tatizo hili.  Ripoti ya Umoja wa Mataifa imethibitisha ongezeko la mabadiliko ya hali hewa na kusababisha majanga katika karne ya 21. Baadhi ya maeneo yanaweza kuwa na joto hatari na maeneo mengine hayafai kwa makazi sababu ya ongezeko la viwango vya maji. Moja ya ripoti iliyotolewa na shirika la Save the Children nchini Burundi, ni kuongezeka kwa maji katika Ziwa Tanganyika na kusababisha takribani familia 100,000 kuhama makazi yao. Watu katika nchi masikini, …

Mazingira ni Kesho ya Watoto Wetu Read More »

Battle of the Mind

Mental health illnesses are episodic, just like a lot of physical illnesses.  By Constance Ndeleko Winding the beautiful Meru hills was scenic given the picturesque views of the endless winding hills and streams that enhance the beauty of the land. It was such a great opportunity to take a city break to unveil issues on …

Battle of the Mind Read More »

Is CBC Convenient for Every Child?

By Khadija Mbesa The Competency-Based Curriculum that was unveiled to replace the 8-4-4 system focuses on the ability of the student to learn alone and develop relevant skills, changing the emphasis from the tradition of chalk teaching.. Every child has a right to Education, that means accessible education. But is CBC easy accessible to every …

Is CBC Convenient for Every Child? Read More »

Mapigano ya Elimu dhidi ya Janga la Uviko 19

ByMartha Chimilila Wadau wa Maendeleo katika nchi za Afrika Mashariki wanafanya kampeni mbalimbali za kuhakikisha watoto wanapata elimu bora na sio bora elimu. Katika kipindi cha mwaka 2020, dunia ilishuhudia mabadiliko makubwa haswa katika sekta ya elimu yaliyosababishwa na janga la Uviko 19. Mnamo mwezi machi 2020, nchi za Afrika Mashariki zilifunga Taasisi zote za elimu na hii ilitokana na …

Mapigano ya Elimu dhidi ya Janga la Uviko 19 Read More »

Daktari Aua Wanawe Wawili.

By Khadija Mbesa Daktari anayedaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwadunga sindano ya dawa iliyopita kiasi, akamatwa hapo juzi katika kaunti ya Nakuru. Mamlaka ilisema kwamba, daktari aliyetambuliwa kama Daktari James Gakara, alijaribu kujitoa Uhai kabla ya kukamatwa. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Nakuru, Beatrice Kiraguri, alisema kwamba, tukio hilo liliripotiwa na jirani katika …

Daktari Aua Wanawe Wawili. Read More »

Nafasi za Kupendeza kwa Watoto, Rwanda

By Martha Chimilila Mfumo wa haki za watoto ni kitecho cha wazazi, jamii, serikali na wadau wanaosimamia na kulinda maswala ya watoto kama haki ya kupata elimu bora, lishe yenye tija na afya njema. Kuna mikataba mbalimbali duniani ambayo ilisainiwa kati ya nchi na Mashirika ya Kutetea na Kulinda haki za watoto duniani. Ofisi ya Upelelezi ya Rwanda RIB imefungua nyumba maalum ambayo itatumika kusaidia watoto wawe na faraja, endapo watakuwa katika vyombo vya sheria kwa makosa mbalimbali. Watoto ambao wanawasiliana na mahakama ni wale ambao wanatuhuma za kuvunja sheria, waathirika na vitendo vya kuvunjwa kwa haki za watoto na mashahidi wa kesi mbalimbali. Ofisi ya Upelelezi nchini Rwanda wakishirikiana na UNICEF, siku ya jumatano september 15,2021, walizindua chumba rasmi kilichopewa jina la “Nafasi Rafiki kwa Watoto”, Chumba hicho kiko katika kituo cha Upelelezi Kicukiro katika wilaya …

Nafasi za Kupendeza kwa Watoto, Rwanda Read More »

Nafasi za Kupendeza kwa Watoto, Rwanda

By Martha Chimilila Mfumo wa haki za watoto ni kitecho cha wazazi, jamii, serikali na wadau wanaosimamia na kulinda maswala ya watoto kama haki ya kupata elimu bora, lishe yenye tija na afya njema. Kuna mikataba mbalimbali duniani ambayo ilisainiwa kati ya nchi na Mashirika ya Kutetea na Kulinda haki za watoto duniani. Ofisi ya Upelelezi ya Rwanda RIB imefungua nyumba maalum ambayo itatumika kusaidia watoto wawe na faraja, endapo watakuwa katika vyombo vya sheria kwa makosa mbalimbali. Watoto ambao wanawasiliana na mahakama ni wale ambao wanatuhuma za kuvunja sheria, waathirika na vitendo vya kuvunjwa kwa haki za watoto na mashahidi wa kesi mbalimbali. Ofisi ya Upelelezi nchini Rwanda wakishirikiana na UNICEF, siku ya jumatano september 15,2021, walizindua chumba rasmi kilichopewa jina la “Nafasi Rafiki kwa Watoto”, Chumba hicho kiko katika kituo cha Upelelezi Kicukiro katika wilaya …

Nafasi za Kupendeza kwa Watoto, Rwanda Read More »