Senti Makaburini
By Khadija Mbesa Wakati kila mtoto anaonekana yupo shuleni ama nyumbani mwao, utamwona Mtoto wa miaka 12 amekaa chini ya mti katika makaburi ya al-Faluja, kusini magharibi mwa kambi ya wakimbizi ya Jabalia kaskazini mwa Gaza, akijikinga na miale ya jua kali, huku akisubiri wageni wa makaburi wafike ili awape huduma kadhaa kwa malipo kidogo […]