Mtoto

Yatima katika Jamii

By Martha Chimilila Yatima ni mtoto aliyepoteza Mzazi mmoja ama wazazi wote, inaweza ikawa kwa ugonjwa au kitu kingine chochote. Tafiti zaonesha kuwa, zaidi ya watoto million 153 ni Yatima kwa kupoteza Mzazi mmoja, na takribani millioni 17.8 wamepoteza wazazi wote wawili. Visababishi vya mtengano kati ya watoto, wazazi na vituo vya kutoa misaada ni […]

Yatima katika Jamii Read More »

Hidden Cracks of Grief

Grief is an inevitable, never-ending process that results from a permanent or temporary disruption in a routine, a separation, or a change in a relationship that may be beyond the person’s control. This disruption, change, or separation causes pain and discomfort and impacts the person’s thoughts, feelings, and behaviors. Although loss is a universal experience,

Hidden Cracks of Grief Read More »

Afya ya Watoto na Mitandao ya Kijamii

By: Martha Chimilila Mitandao ni nyenzo ya msingi ya maendeleo katika nyanja ya Mawasiliano, ambapo jamii mbalimbali ulimwenguni wanaunganishwa. Matumizi ya simu za mikononi na zana mbalimbali za kidigitali, zimeongezeka sana katika kipindi hiki ambacho dunia inapambana na janga la Corona. Kutoka mwaka wa 2019 na kuendelea tumeona kuwa, idadi ya watumiaji wa mitandao ya

Afya ya Watoto na Mitandao ya Kijamii Read More »

Juvenile Justice System- India

Understanding the Juvenile Justice System in India By Geetika Gautam Abraham Lincoln once said: “A child is a person who is going to carry on what you have started … the fate of humanity is in his hands.” Children are the greatest national resource, representing the nation and the coming future of the country.  Unfortunately, In

Juvenile Justice System- India Read More »

Ladha au Afya Njema?

By Khadija Mbesa Unene kupita kiasi kwa watoto ni suala tata la kiafya. Hii hutokea wakati mtoto yuko na uzito usio wa kawaida, au kuwa na uzito uliozidi inavyopaswa kulingana na urefu wake. Sababu za kupata uzito kupita kiasi kwa vijana ni sawa na zile za watu wazima, pamoja na tabia na maumbile. Unene kupita kiasi pia

Ladha au Afya Njema? Read More »

What is Agenda 2040?

By Kevin Anyonge Africa is set on a course towards a different and better Africa. The vision that inspires this course is captured in the African Union Agenda 2063. Because the ideals in Agenda 2063 will not be achieved overnight, young people and children, in particular have to be the drivers of Africa’s renaissance. Securing future

What is Agenda 2040? Read More »