jane

Kitanzi cha Ndoa, Gharama kwa Watoto

By Khadija Mbesa Mama wa watoto watatu hivi sasa anashikiliwa na upelelezi kwa madai ya kuwanyonga watoto wake wawili hadi kuwaua, huko Jerusalem-Waithaka, kaunti ndogo ya Dagorreti, Nairobi. Diana Kibisi anasemekana kujifungia na watoto wake watatu katika chumba chao kimoja kabla ya kumuua mtoto wake wa kiume wa miaka 4 na 3. Vyanzo vya karibu …

Kitanzi cha Ndoa, Gharama kwa Watoto Read More »

Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda

By Martha Chimilila Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu yoyote kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa, wanawake ndiyo wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia. Hali imekuwa ya tofauti nchini Rwanda, ambapo Wataalamu wametoa ripoti inayoonyesha asilimia 11 kwa mwaka wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kwa …

Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda Read More »

Mapinduzi ya Kisiasa nchini Myanmar

By Martha Chimilila Mapinduzi ya kisiasa nchini Myanmar katika kipindi cha miezi mitano, yamesababisha watoto wengi kuuawa na mamia kuzuiliwa kiholela. Wataalamu wa Haki za Umoja wa Mataifa walisema michafuko ya kisiasa yanaendelea katika kipindi cha dharura za kiafya zilizoletwa na janga la Corona. Kamati ya haki za watoto ya Umoja wa Mataifa iliripoti Ijumaa …

Mapinduzi ya Kisiasa nchini Myanmar Read More »

Confusing Classifications: Inconsistencies in US Juvenile Justice

By: Katherine Ergil To find data concerning juvenile arrests and the lives of those in juvenile justice systems within the United States is a  daunting task. Due to inconsistencies between states and even within states when defining who a juvenile is in relation to criminal prosecution, overarching data is hard to collect. The federal legal opinion that is binding on …

Confusing Classifications: Inconsistencies in US Juvenile Justice Read More »

Ripoti ya Upatikanaji wa Huduma za Kuzuia na Kutibu VVU kwa Watoto

By Khadija Mbesa Ripoti mpya inafunua ukosefu wa usawa katika upatikanaji wa huduma za kuzuia na kutibu VVU kwa watoto hili linakusudia washirika kutaka hatua za haraka. Katika ripoti ya mwisho kutoka mpango wa Start Free, Stay Free, AIDS Free, UNAIDS na washirika wanaonya kwa maendeleo kuelekea kumaliza UKIMWI kati ya watoto, vijana na wasichana …

Ripoti ya Upatikanaji wa Huduma za Kuzuia na Kutibu VVU kwa Watoto Read More »