MAKING CHILDREN VISIBLE

NEWS DESK

LATEST POSTS

Learners To Move To Next Class in Hectic

It is important to create public awareness through TSC messages sent to teachers, televisions and also erecting posters on Covid-19 messages. By Ivy Maloy The Teachers Service Commission(TSC) is holding a stakeholder’s forum on teacher’s preparedness as schools in Kenya reopen for the 2021 academic calendar year. All schools across

Read More

Kitanzi cha Ndoa, Gharama kwa Watoto

By Khadija Mbesa Mama wa watoto watatu hivi sasa anashikiliwa na upelelezi kwa madai ya kuwanyonga watoto wake wawili hadi kuwaua, huko Jerusalem-Waithaka, kaunti ndogo ya Dagorreti, Nairobi. Diana Kibisi anasemekana kujifungia na watoto wake watatu katika chumba chao kimoja kabla ya kumuua mtoto wake wa kiume wa miaka 4

Read More

Mapigano dhidi ya Minyororo ya Ulawiti, Rwanda

By Martha Chimilila Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu yoyote kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa, wanawake ndiyo wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia. Hali imekuwa ya tofauti nchini Rwanda, ambapo Wataalamu wametoa ripoti inayoonyesha asilimia 11 kwa mwaka

Read More

TOP STORY

Mabadiliko ya Maadili katika Jamii

Ubongo wa mwanadamu umeumbwa kupokea na kutunza kumbukumbu ya yanayotokea. Wataalamu wa makuzi wanasema mtoto ana uwezo mkubwa sana wa kupokea taarifa na kutunza kumbukumbu zaidi ya mtu mzima. Hii inasababishwa na mtoto kufikiri wakati uliopo tu tofauti na mtu mzima hufikiri kwa nyakati tatu yaani uliopo, uliopita na ujao. Hayo anayoyatunza akilini humsaidia kuchanganua na kutoa maamuzi mbalimbali katika Maisha.

BY: Martha Chimilila